Kutoka 12:13 BHN

13 Basi, ile damu itakuwa ishara yenu ya kuonesha nyumba mtakamokuwa. Nami nitakapoiona hiyo damu, nitawapita nyinyi, na hamtapatwa na dhara lolote wakati nitakapoipiga nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:13 katika mazingira