Kutoka 12:18 BHN

18 Basi, mtakula mikate isiyotiwa chachu kuanzia jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, mpaka jioni ya siku ya ishirini na moja ya mwezi huohuo wa kwanza.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:18 katika mazingira