19 Katika siku hizo saba, msiwe na chachu yoyote katika nyumba zenu. Mtu yeyote, awe mgeni au mwenyeji, akila kitu kilichotiwa chachu, ataondolewa miongoni mwa jumuiya ya Waisraeli.
Kusoma sura kamili Kutoka 12
Mtazamo Kutoka 12:19 katika mazingira