Kutoka 12:20 BHN

20 Popote pale mnapoishi, ni mwiko kabisa kula chochote kilichotiwa chachu. Mnapaswa kula mikate isiyotiwa chachu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:20 katika mazingira