22 Mtachukua majani ya husopo na kuyachovya katika damu ndani ya birika na kupaka kwenye vizingiti na miimo yote miwili ya milango ya nyumba zenu. Mtu yeyote asitoke nje ya nyumba usiku huo hadi asubuhi.
Kusoma sura kamili Kutoka 12
Mtazamo Kutoka 12:22 katika mazingira