Kutoka 12:23 BHN

23 Maana mimi Mwenyezi-Mungu nitapita kuwaua Wamisri. Lakini nitakapoiona damu iliyopakwa kwenye vizingiti na miimo ya nyumba zenu, nitazipita na wala sitamruhusu mwangamizi kuingia katika nyumba zenu na kuwaua.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:23 katika mazingira