Kutoka 12:30 BHN

30 Basi Farao, watumishi wake na wakazi wote wa Misri wakaamka usiku. Kukawa na kilio kikubwa nchini kote Misri kwa maana hapakuwa hata nyumba moja ambamo hakufa mtu.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:30 katika mazingira