Kutoka 12:31 BHN

31 Hapo Farao akawaita Mose na Aroni, usiku huohuo, akamwambia, “Amkeni! Ondokeni miongoni mwa watu wangu. Nendeni, nyinyi pamoja na hao Waisraeli, mkamtumikie Mwenyezi-Mungu kama mlivyosema.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:31 katika mazingira