Kutoka 12:34 BHN

34 Basi, Waisraeli wakauchukua unga wao uliokandwa kabla haujatiwa chachu, na mabakuli yao ya kukandia wakiwa wamezifunga kwa nguo na kubeba mabegani.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:34 katika mazingira