Kutoka 12:35 BHN

35 Waisraeli walikuwa wamekwisha fanya kama Mose alivyowaagiza hapo awali: Waliwaomba Wamisri wawapatie vito vya fedha, dhahabu na mavazi.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:35 katika mazingira