Kutoka 12:36 BHN

36 Naye Mwenyezi-Mungu alikwisha wafanya Waisraeli wapendwe na Wamisri, nao Wamisri wakawapa kila kitu walichoomba. Ndivyo Waisraeli walivyowapokonya Wamisri mali yao.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:36 katika mazingira