Kutoka 12:37 BHN

37 Waisraeli waliondoka mjini Ramesesi, wakasafiri kwa miguu kuelekea Sukothi. Walikuwa wanaume wapatao 600,000, licha ya wanawake na watoto.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:37 katika mazingira