Kutoka 12:42 BHN

42 Usiku huo ambao Mwenyezi-Mungu alikesha ili kuwatoa Waisraeli nchini Misri, unapaswa kuadhimishwa na Waisraeli wote na vizazi vyao vyote, kama usiku wa kukesha kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:42 katika mazingira