Kutoka 12:43 BHN

43 Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, “Yafuatayo ni maagizo juu ya adhimisho la Pasaka. Mgeni yeyote hatashiriki chakula cha Pasaka.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:43 katika mazingira