18 Badala yake, Mungu aliwapitisha Waisraeli katika njia ya mzunguko kupitia jangwani, kuelekea bahari ya Shamu. Waisraeli waliondoka nchini Misri wakiwa wamejiandaa kwa vita.
Kusoma sura kamili Kutoka 13
Mtazamo Kutoka 13:18 katika mazingira