Kutoka 14:18 BHN

18 Naam, nitatukuka kwa kumwangamiza Farao na jeshi lake, pamoja na magari yake na wapandafarasi; nao Wamisri watajua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:18 katika mazingira