Kutoka 14:20 BHN

20 ukakaa katikati ya Waisraeli na Wamisri. Lile wingu likawatia Wamisri giza, lakini likawaangazia Waisraeli usiku. Kwa hiyo, makundi hayo mawili, jeshi la Farao na kundi la Waisraeli, hayakukaribiana usiku kucha.

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:20 katika mazingira