Kutoka 14:21 BHN

21 Mose akaunyosha mkono wake juu ya bahari, naye Mwenyezi-Mungu akaisukuma bahari nyuma kwa upepo mkali toka mashariki. Upepo huo ulivuma usiku kucha, ukaigawa bahari sehemu mbili na katikati kukatokeza nchi kavu.

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:21 katika mazingira