Kutoka 14:23 BHN

23 Wamisri wakawafuata kwa kupitia nchi kavu iliyokuwa katikati ya bahari pamoja na farasi wao, magari yao ya vita na wapandafarasi wao wote.

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:23 katika mazingira