24 Karibu na mapambazuko, Mwenyezi-Mungu aliliangalia jeshi la Wamisri kutoka katika ule mnara wa moto na ule mnara wa wingu, akalitia hofu kubwa.
Kusoma sura kamili Kutoka 14
Mtazamo Kutoka 14:24 katika mazingira