25 Aliyakwamisha magurudumu ya magari yao, yakawa yakienda kwa shida sana. Hapo Wamisri wakasema, “Tuwakimbie Waisraeli; Mwenyezi-Mungu anawapigania Waisraeli dhidi yetu.”
Kusoma sura kamili Kutoka 14
Mtazamo Kutoka 14:25 katika mazingira