27 Basi, Mose akaunyosha mkono wake juu ya bahari, na kulipopambazuka bahari ikarudia hali yake ilivyokuwa. Wamisri wakajaribu kuyakimbia maji lakini Mwenyezi-Mungu akawasukumizia baharini.
Kusoma sura kamili Kutoka 14
Mtazamo Kutoka 14:27 katika mazingira