Kutoka 14:28 BHN

28 Maji yakayafunika magari pamoja na wapandafarasi; jeshi lote la Farao lililokuwa limewafuatia Waisraeli likafa baharini. Hakunusurika Mmisri hata mmoja.

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:28 katika mazingira