Kutoka 14:30 BHN

30 Siku hiyo Mwenyezi-Mungu aliwaokoa Waisraeli mikononi mwa Wamisri; nao Waisraeli wakawaona Wamisri wamelala ufuoni wamekufa.

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:30 katika mazingira