Kutoka 14:31 BHN

31 Waisraeli walipoona tendo hilo la ajabu alilofanya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Wamisri, wakamcha, wakawa na imani na Mwenyezi-Mungu na Mose mtumishi wake.

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:31 katika mazingira