Kutoka 15:23 BHN

23 Walipofika mahali panapoitwa Mara, hawakuweza kuyanywa maji ya Mara kwa sababu yalikuwa machungu. Kwa sababu hiyo mahali hapo pakaitwa Mara.

Kusoma sura kamili Kutoka 15

Mtazamo Kutoka 15:23 katika mazingira