Kutoka 15:27 BHN

27 Kisha Waisraeli wakawasili huko Elimu ambako kulikuwa na chemchemi kumi na mbili na mitende sabini. Wakapiga kambi yao huko karibu na maji.

Kusoma sura kamili Kutoka 15

Mtazamo Kutoka 15:27 katika mazingira