Kutoka 16:1 BHN

1 Jumuiya yote ya Waisraeli iliondoka, ikafika jangwa la Sini kati ya Elimu na Sinai. Hii ilikuwa siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili tangu walipoondoka nchini Misri.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:1 katika mazingira