Kutoka 16:12 BHN

12 “Nimeyasikia manunguniko ya Waisraeli. Basi, waambie kwamba wakati wa jioni watakula nyama, na asubuhi watakula mkate. Hapo ndipo mtakapotambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:12 katika mazingira