Kutoka 16:13 BHN

13 Basi, mnamo wakati wa jioni kukaja kware wengi, wakafunika kambi ya Waisraeli. Asubuhi yake kukatokea umande, ukatanda kandokando ya kambi yao.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:13 katika mazingira