Kutoka 16:20 BHN

20 Lakini watu hawakumsikiliza Mose. Baadhi yao walijibakizia chakula mpaka asubuhi. Lakini asubuhi chakula hicho kikawa kimeoza na kuwa na mabuu. Mose akawakasirikia sana watu.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:20 katika mazingira