Kutoka 16:21 BHN

21 Basi, kila asubuhi walikusanya chakula kila mtu kiasi alichohitaji kula. Jua lilipopanda juu na kuwa kali, kile chakula kingine kiliyeyuka.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:21 katika mazingira