22 Katika siku ya sita, Waisraeli walikusanya chakula hicho maradufu, pishi nne kwa kila mtu. Basi, wazee wote wa jumuiya ya Waisraeli walimwendea Mose, wakamweleza jambo hilo.
Kusoma sura kamili Kutoka 16
Mtazamo Kutoka 16:22 katika mazingira