Kutoka 16:34 BHN

34 Basi, Aroni akaiweka mana mahali patakatifu mbele ya sanduku la agano ili ihifadhiwe kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:34 katika mazingira