Kutoka 16:35 BHN

35 Waisraeli walikula mana kwa muda wa miaka arubaini, mpaka walipofika katika nchi iliyofaa kuishi, nchi iliyokuwako mpakani mwa Kanaani ambako walifanya makao yao.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:35 katika mazingira