Kutoka 17:2 BHN

2 Kwa hiyo watu wakamnungunikia Mose wakisema, “Tupe maji ya kunywa.” Mose akawauliza, “Mbona mnaninungunikia? Mbona mnamjaribu Mwenyezi-Mungu?”

Kusoma sura kamili Kutoka 17

Mtazamo Kutoka 17:2 katika mazingira