Kutoka 17:3 BHN

3 Lakini wote walikuwa na kiu, wakamnungunikia Mose wakisema, “Kwa nini ulitutoa kule Misri utuue kwa kiu sisi sote na watoto wetu na mifugo yetu?”

Kusoma sura kamili Kutoka 17

Mtazamo Kutoka 17:3 katika mazingira