Kutoka 18:14 BHN

14 Yethro, baba mkwe wa Mose, alipoyaona mambo yote ambayo Mose aliwafanyia Waisraeli, alimwuliza, “Kwa nini unawafanyia watu mambo haya? Mbona unaketi peke yako huku watu wamekuzunguka tangu asubuhi mpaka jioni?”

Kusoma sura kamili Kutoka 18

Mtazamo Kutoka 18:14 katika mazingira