Kutoka 18:13 BHN

13 Kesho yake, Mose aliketi kuamua matatizo ya Waisraeli, nao wakasimama wakiwa wamemzunguka, tangu asubuhi mpaka jioni.

Kusoma sura kamili Kutoka 18

Mtazamo Kutoka 18:13 katika mazingira