25 Basi, akawateua watu wenye uwezo kati ya Waisraeli, akawafanya kuwa viongozi wa makundi ya watu elfu, watu mia, watu hamsini na watu kumikumi.
Kusoma sura kamili Kutoka 18
Mtazamo Kutoka 18:25 katika mazingira