26 Nao wakawa wanaamua matatizo ya watu kila wakati. Matatizo magumu walimletea Mose, lakini yale madogomadogo waliyatatua wao wenyewe.
Kusoma sura kamili Kutoka 18
Mtazamo Kutoka 18:26 katika mazingira