Kutoka 18:8 BHN

8 Mose akamweleza mkwewe mambo yote Mwenyezi-Mungu aliyomtenda Farao na Wamisri kwa ajili ya Waisraeli. Alimwambia pia juu ya shida zote zilizowapata safarini na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyowaokoa.

Kusoma sura kamili Kutoka 18

Mtazamo Kutoka 18:8 katika mazingira