9 Yethro akafurahishwa na yote aliyotenda Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya Waisraeli, kwa kuwaokoa mikononi mwa Wamisri.
Kusoma sura kamili Kutoka 18
Mtazamo Kutoka 18:9 katika mazingira