Kutoka 19:16 BHN

16 Basi, siku ya tatu asubuhi, kukatokea ngurumo na umeme na wingu zito juu ya mlima. Ikasikika pia sauti kubwa ya mbiu ambayo iliwatetemesha watu wote kambini.

Kusoma sura kamili Kutoka 19

Mtazamo Kutoka 19:16 katika mazingira