Kutoka 19:17 BHN

17 Kisha Mose akawaongoza watu wote kutoka kambini, wakaenda kukutana na Mungu. Wote walikwenda wakajipanga chini ya mlima.

Kusoma sura kamili Kutoka 19

Mtazamo Kutoka 19:17 katika mazingira