Kutoka 19:18 BHN

18 Mlima wa Sinai ulikuwa umefunikwa na moshi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alishuka juu yake katika moto. Moshi wa moto huo ulipanda juu kama moshi wa tanuri kubwa na mlima wote ulitetemeka kwa nguvu.

Kusoma sura kamili Kutoka 19

Mtazamo Kutoka 19:18 katika mazingira