Kutoka 19:23 BHN

23 Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Watu hawa hawawezi kuupanda mlima wa Sinai kwani wewe mwenyewe ulituamuru tuweke mpaka kuuzunguka mlima.”

Kusoma sura kamili Kutoka 19

Mtazamo Kutoka 19:23 katika mazingira