Kutoka 19:24 BHN

24 Mwenyezi-Mungu akasema, “Teremka chini kisha urudi pamoja na Aroni. Lakini usiwaruhusu makuhani na watu wengine wapite mpaka na kuja kwangu, la sivyo nitawaadhibu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 19

Mtazamo Kutoka 19:24 katika mazingira