7 Basi, Mose akarudi, akawakusanya pamoja wazee wa Waisraeli na kuwaambia maneno hayo aliyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Kutoka 19
Mtazamo Kutoka 19:7 katika mazingira