Kutoka 19:8 BHN

8 Watu wote wakaitikia kwa pamoja wakisema, “Mambo yote aliyoyasema Mwenyezi-Mungu, tutayafanya.” Mose akamjulisha Mwenyezi-Mungu jibu hilo la watu.

Kusoma sura kamili Kutoka 19

Mtazamo Kutoka 19:8 katika mazingira